Click on Story to read more...
Michuzi
GHALA LA SILAHA LA JESHI LIMELIPUKA NA KUSHIKA MOTO KWENYE KAMBI YA JESHI ILIYOKO MBAGALA KIZUIANI NA KUSABABISHA MILIPUKO MIKUBWA YA MABOMU NA KULETA KIZAAZAA JIJI ZIMA...
Food for Thought
Kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyoko Mbagal Kizuiani, inalipuka na nyumba zilizopo jirani na kambi hiyo zimeshika moto!! Habari kutoka kwenye eneo la tukio zinasema kuwa,mabomu hayo yalikuwa yamehifadhiwa kwenye ghala la silaha la kambi hiyo na yamekuwa yakiripuka kila baada ya sekendu chache na yanendelea kulipuka hadi wakati huu tunawaletea taarifa hii...


No comments:
Post a Comment