
From her own words...
"Ni Mwanamke Shupavu, Mpiganaji wa maendeleo binafsi na ya wengine. Majungu hapana upande huu kazi kwanza, Naamini katika kile ninachoona ni sawa. Mungu akiwa upande wangu kwanza ya Ulimwengu yanafuata"
U just gotta love what she does... Stop by her blog, it's very, uuuuum, uuuuum ... just get over there and see for yourself...


dada jay.dee! kwanza kabisa napenda kukusalimia kwa salamu nzuri ya kimoyo safi nayo ni:"Amani iwe juu yako"
ReplyDeletepilinapenda kukujulisha kwamba napendezwa sana na mwenendo wako wa kimaisha haswa ukizingatia kuwa wewe ni msanii mashuhuri nchini tanzania,kitu ambacho huwafanya watu wengi wenye majina na vipaji mashuhuri kama wewe kwenda njia isiyokuwa yenyewe akama vile kuwa na tabia legevu kama vile majungu ,kupigana vijembe na marafiki zao,uhasama wa hapa na pale,kubugia mipombe kama vile bg! kuvuta mibangi na kuvua nguo wanapokuwa kwenye stage ati wamepanda mizuka kama vile msanii fulani (jina kapuni),uashereti wa kupindukia,kutokuwa na tabia ya kuwasaidia wenye hali duni,na kadhalika.wewe dada lady jay dee umekuwa kwangu mimi ni msanii mwenye tabia nzuri zaidi na mfano bora kwa wengine ,na hii inaweza kuthibitika kwenye "YOUR OWN WORDS" Nafurahishwa sana na ushupavu wako,na nimependezewa mno kuona zile snap ulizopiga na ndugu kipenzi wa watanzania mheshimiwa rais JAKAYA MRISHO KIKWETE pale IKULU ya rais ukiwa na mheshimiwa Profesor J,na wengine.hii inathibitisha uyasemayo kuwa wewe ni shupavu na uko msatari wa mbele kutoa ulichonacho kusaidi wanyonge kama wale wanaoshambuliwa na Malalia ya Uzazi,kwani bila unaamini kufanya hivyo hakutakupunguzia kitu katika kile unachokimiliki kama mali ,sifa na ukarimu,bali kufanya hivyo unaamini ni sehemu moja wapo ya kuzidisha vitu hivyo.LAITI WASANII WOTE WA BONGO WENGELIKUWA NA MOYO KAMA WAKO,NADHANI HAPO MAMBO YANGELIKUWA MKWANO!!!
UNASTAHIKI KILA SIFA DADA'
"the so called tzchalii."
Actually like your websites details! Undoubtedly an exquisite provide of data that's extremely helpful. Keep it up to carry publishing and that i’m gonna proceed reading by way of! Cheers.
ReplyDeleteThanks for taking the time to debate this, I really feel strongly about it and love studying more on this topic. If possible, as you gain experience, would you thoughts updating your blog with extra info? This can be very useful for me.
ReplyDeleteThank you all for your concerning comments. Now as you can see i have added a contact page. please feel free to send suggestions. and i'll be more than glad to fullfill them. Once again thank you all for visiting the blog...
ReplyDeleteI’m still learning from you, however I’m bettering myself. I definitely love reading every little thing that's written on your blog.Keep the stories coming. I liked it!
ReplyDeleteGreat stuff from you, man. Ive read your stuff before and youre just too awesome. I love what youve got here, love what youre saying and the way you say it. You make it entertaining and you still manage to keep it smart. I cant wait to read more from you. This is really a great blog.
ReplyDelete