23 December 2011

Nape Urges Dar to be Cleaned

Vijana wa CCM Mkoa wa Dsm jipangeni kusafisha mji na kutoa msaada pale unapohitajika ili turudishe jiji katika hali ya kawaida!

Nape Nnauye post on facebook. 

2 comments:

  1. I Luv the Snow Flake Its is Snow in (Dar) Net Lol! MZ

    ReplyDelete
  2. jamani naomba niseme tujipange kutoa elimu ya utunzaji wa mazingra mashuleni, vyuoni na kwa wana jamii hapo tuta solve tatizo ndipo tumalizie na kusafisha mazingra hapo tutashinda. imani na mtizamo wangu tusipoelimisha juu ya kutunza na kutochafua mazingira tutaendelea kutumia nguvu nying na pesa nyingi kusafisha kila siku indendayo.

    ReplyDelete

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Subscribe to RSS Join me on Facebook