jamani naomba niseme tujipange kutoa elimu ya utunzaji wa mazingra mashuleni, vyuoni na kwa wana jamii hapo tuta solve tatizo ndipo tumalizie na kusafisha mazingra hapo tutashinda. imani na mtizamo wangu tusipoelimisha juu ya kutunza na kutochafua mazingira tutaendelea kutumia nguvu nying na pesa nyingi kusafisha kila siku indendayo.
I Luv the Snow Flake Its is Snow in (Dar) Net Lol! MZ
ReplyDeletejamani naomba niseme tujipange kutoa elimu ya utunzaji wa mazingra mashuleni, vyuoni na kwa wana jamii hapo tuta solve tatizo ndipo tumalizie na kusafisha mazingra hapo tutashinda. imani na mtizamo wangu tusipoelimisha juu ya kutunza na kutochafua mazingira tutaendelea kutumia nguvu nying na pesa nyingi kusafisha kila siku indendayo.
ReplyDelete